Kura ya maoni na hofu ya hali ya hewa

Haki miliki ya picha SPL

Hofu ya umma kuhusu mabadiliko ya hali ya hewa imepungua katika kipindi cha miaka sita iliyopita.

Kura ya maoni ya kimataifa inaonyesha kuwa hofu hiyo imepungua hasa katika nchi zilizostawi kiviwanda.

Ni nchi nne pekee ambazo ni - Canada, Ufaransa , Uhispania na Uingereza ambazo kwa sasa raia wake wanaunga mkono serikali zao kuweka malengo katika mkutano wa dunia wa mazingira utakaofanyika wiki ijayo mjini Paris Ufaransa