Donald Trump akanusha kukejeli mlemavu

Haki miliki ya picha APTN
Image caption Donald Trump

Mgombea wa urais wa chama cha Republican Donald Trump, amekanusha kukejeli ulemavu wa viungo vya mwili.

Bilionea huyo wa Marekani amekanusha kumkejesli mwandishi wa habari Serge Kova-leski wakati wa hotuba yake ya kampeni.

Bwana Trump alilegeza mkono wake kama uliopooza na kuvuruga hotuba yake alipokuwa akielezea waraka ulio ulioandikwa na mwandishi huyo ambae ni mlemavu wa misuli na viungo.