Chemsha bongo ya Star Wars: Hakuna kuachia katikati

Filamu mpya ya Star Wars itaanza kuonyeshwa maeneo mengi duniani 18 Desemba miaka 38 baada ya filamu ya kwanza kuonyeshwa.

The Force Awakens, ambayo ni ya saba katika mwendelezo huu wa filamu, inajumuisha baadhi wa lioigiza kwenye filamu ya kwanza na imesifiwa sana.

Lakini unakumbuka vyema filamu za Star Wars? Jipime kwa kujibu maswali haya ya kuchemsha bongo.

Star Wars