Majibu ya matukio makuu Afrika 2015

Umepata majibu mangapi sahihi?

JANUARI: Waziri wa ulinzi wa Zambia Edgar Lungu ashinda uchaguzi wa urais

FEBRUARI: Ivory Coast washinda Kombe la Taifa Bingwa Afrika

MACHI: Muhammadu Buhari ashinda uchaguzi Nigeria

APRILI: 148 wauawa shambulio chuo kikuu Garissa

MEI: Jaribio la kupindua serikali latokea Burundi

JUNI: Moto kituo cha petroli waua watu 150 Accra

JULAI: Rais wa Marekani Barack Obama azuru Kenya na Ethiopia

AGOSTI: Wahamiaji zaidi ya 200 wafa maji karibu na pwani ya Libya

SEPTEMBA: Serikali yapinduliwa Burkina Faso

OKTOBA: Guinea, Ivory Coast na Tanzania zaandaa uchaguzi

NOVEMBA: Papa Francis azuru Kenya, Uganda na Jamhuri ya Afrika ya Kati

DESEMBA: Oscar Pistorius apatikana na hatia ya mauaji