Shein aapishwa rais wa Zanzibar

Image caption Rais wa Zanzibar Ali Mohamed Shein

Rais wa Zanzibar Ali Mohamed Shein ameapa kupambana na utovu wa usalama katika kisiwa hicho.

Shein ambaye aliapishwa leo baada ya kushinda uchaguzi wa marudio uliosusiwa na upinzani amesema kuwa atafanya kila awezalo kuzima majaribio yeyote ya kuitumbukiza kisiwa hicho katika uhasama.

Shein alitangazwa mshindi wa asili mia 90% ya kura zote zilizopigwa Jumapili iliyopita.

Uchaguzi huo wa marudio uliitishwa baada ya kura iliyopigwa mwezi Oktoba mwaka uliopita kufutiliwa mbali baada ya kiongozi wa upinzani alidai kushinda.

CUF ilisusia kura ya marudio
Image caption CUF ilisusia marudio ya uchaguzi Zanzibar

Kauli hiyo inafuatia onyo la chama cha Upinzani CUF kuwa kurudiwa kwa uchaguzi visiwani Zanzibar kunaweza kusababisha vurugu.

CUF kilimtaka rais wa Tanzania Dkt John Magufuli kuingilia kati kutatua mzozo ulitokana na uchaguzi visiwani humo.

Katibu mkuu wa chama hicho Maalim Seif, akihutubia wanahabari, alisema chama hicho hakitaki uchaguzi urudiwe na kuendelea kusisitiza msimamo wa awali kwamba mshindi wa uchaguzi uliofanywa 25 Oktoba mwaka jana anafaa kutangazwa.

hilo linafuatia said he would have a "zero tolerance on people who attempt to cause instability", the AFP news agency reports.

He took more than 90% of the vote in Sunday's controversial poll on Tanzania's semi-autonomous islands which was boycotted by the opposition.

The election was a re-run of October's annulled vote, which an opposition candidate said he had won.

The electoral commission said there had been irregularities.

AFP reports President Shein as saying: "As I form a new government, I appeal to everybody to play their role in building Zanzibar".