IS wabanwa,

Haki miliki ya picha AFP
Image caption wapiganaji wa Ismalic state

Majeshi ya waasi wa Syria yamesababisha wana mgambo wa kundi la kiislamu la Islamic state kutoka nje ya mji walidhamiria nchini Syria.

Hatua hiyo inakuja huku ikiwa ni muda mfupi kutokea kwa mapigano makali yaliotokea chache zilizopita.

Mji wa Al-Rai uliopo kwenye jimbo la Aleppo upo kwenye mikakati mikubwa ya wanamgambo hao wa kigaidi.

Malengo ya uvamizi humo,wakiwa na lengo la kupata fursa ya kuweka ngome yao katika mpaka unaounganisha Uturuki na Syria

Waasi waliohusika na shutuma hizo wanajumuisha mapigano iliyofanyika chini ya jeshi linalojiita kuwa ni jeshi huru la Syria ambalo limekuwa likisambaziwa silaha kutoka uturuki.