Skip to main contentAccess keys helpA-Z index
BBCSwahili.com
Maziwa Makuu
Kisomali
Arabik
Kifaransa kwa Afrika
Turqisht
  Chuo cha Uandishi BBC
Mara ya mwisho imebadilishwa: 18 Juni, 2009 - Imetolewa 14:36 GMT
 
Idhaa ya Kiswahili ya BBC.
Chuo cha Uandishi Habari cha BBC kinayo furaha kuzindua mwongozo maalum wa uandishi wa habari katika lugha ya Kiswahili - huduma hii inatolewa bure kwa watu wote.
 
Chuo cha uandishi cha BBC
 
Epuka matamshi na maneno ya mitaani yanayofanya unachokitangaza kionekane mzaha.
 
Hili ni jambo muhimu sana, katika kazi ya utangazaji unatakiwa kutamka maneno kwa ufasaha.
 
Unapotangaza kwa lugha ya Kiswahili unatakiwa uwe na uelewa wa sarufi ya lugha yenyewe.

 
  Idhaa Yetu | Wasiliana Nasi
 
BBC Copyright Logo ^^ Rejea Juu
 
  Habari | Hali Ya Hewa
 
  BBC News >> | BBC Sport >> | BBC Weather >> | BBC World Service >> | BBC Languages >>
 
  Msaada | Wasiliana nasi | Maelezo ya Faragha