http://www.bbcswahili.com

02 Juni, 2004 - Imetolewa 12:38 GMT

HAKI YA KUNAKILI

Haki zote ikiwa ni pamoja na haki ya kunakili, yaliyomo kwenye kurasa za mtandao wa BBC zinamilikiwa au kudhibitiwa kwa ajili ya BBC.

Wakati wa kuingia katika kurasa za mtandao wa BBC, unakubali kwamba unaweza tu kuchukua yale yalioandikwa humu kwa ajili ya matumizi yako ya kibinafsi ambayo siyo ya kibiashara.

Huruhusiwi kunakili, kuchukua, kuhifadhi, kutangaza, kuonyesha au kufanyia kielelezo mbele ya hadhara, kurekebisha au kubadilisha katika hali yo yote ile yale yaliyomo kwenye kurasa za mtandao wa BBC kwa matumizi mengine yo yote yale bila kupata idhini ya BBC kwa maandishi.