Uchaguzi wa Somalia kwa picha

Imebadilishwa: 11 Septemba, 2012 - Saa 15:01 GMT

Uchaguzi wa Somalia

  • Rais mpya wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud (katikati) mjini Mogadishu
  • Rais mpya Hassan Sheikh Mohamud na mtangulizi wake Sharif Sheikh Ahmed( kulia) wakisikiliza hotuba baada ya kushinda uchaguzi.
  • Wosamali wakiwa wamevalia T-shirts zikiwa na picha ya rais mpya wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud wanatembea katika barabara za mji mkuu mkuu kumuunga mkono.
  • Wenyeji wa Mogadishu wakipita bango la mgombea urais Hassan Sheikh Mohamud mjini Mogadishu kabla ya uchaguzi tarehe 9 Septemba 2012
  • Baadhi ya wagombea urais wakisubiri matokeo ya uchaguzi mjini Mogadishu Septemba 10, 2012
  • Rais mpya Hassan Sheikh Mohamud akipunga mkono kwenye ukumbi wa kupigia kura baada ya kutangazwa mshindi wa uchaguzi huo.
  • Rais huyo mpya hakufahamika sana katika siasa za Somalia na aliunda chama chake cha kisiasa mwaka mmoja uliopita
  • Rais Hassan Sheikh Mohamud (katikati) anaapishwa na mkono wake kwenye Quran baada ya kushinda uchaguzi.

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.