Huwezi kusikiliza tena

Vijana na ukosefu wa ajira

Kipindi cha Sema Kenya kilikita hema kaunti ya Nairobi kujadili swala la ‘Vijana na Ukosefu wa Ajira’ hapa nchini.

Takwimu tayari zinaonyesha kuwa kwa kila nafasi moja ya kazi inayotangazwa, watu 500 waliohitimu Chuo Kikuu hutuma barua za maombi.