Safari ya kupata elimu

Image caption Sylvia mwanafunzi nchini Tanzania

Sylvia ni msichana anayeishi Tanzania. Yeye ni miongoni mwa mamilioni ya wasichana waliobahatika Afrika kupata elimu. Hata hivyo anakabiliwa na changamoto nyingi. Andamana naye katika safari anayopitia kupata elimu.