Huwezi kusikiliza tena

Utajiri wa Narok ni wa nani?

Sema Kenya ilizuru Kaunti ya Narok kutathmini ni kwa nini eneo hilo, licha ya utajiri mkubwa, bado inakabiliana na umasikini.

Walioshiriki kwenye mjadala ni pamoja na Gavana, Seneta na wakaaji wa eneo hilo.