Huwezi kusikiliza tena

Umasikini ndani ya utajiri Kiambu

Sema Kenya ilizuru mji wa Limuru, kaunti ya Kiambu, kuanagazia jinsi rasilimali za eneo hilo zinaweza kutumika katika juhudi za kuziba pengo kati ya mabwenyenye na walala hoi.