Msafara wa Mbita kwa Picha

28 Januari 2014 Imebadilishwa mwisho saa 05:59 GMT

Timu ya Sema Kenya ilizuru mji wa Mbita hivi ili kujumuika na wenyeji.
Mbita ni moja wapo wa miji inayozingira Ziwa Victoria.
Timu ya Sema Kenya ilifika huko kuhamasisha wenyeji kujiunga na mijadala ya utawala katika kipindi kila wiki.
Msafara huu uliwafikia wengi.
Wakazi mbalimbali walijitokeza kusikiliza habari.
Walipata nafasi ya kujadili masuala tofauti inayowahusu kama wakazi wa Mbita.