Huwezi kusikiliza tena

Muhtasari wa Ugatuzi wa Huduma za Afya

Kipindi hiki ni muhstasari wa changamoto za kugatua huduma kuu kama vile afya. Wananchi na viongozi wanajadili njia mbali mbali za kutatua shida zitokanazo na ugatuzi wa huduma hizi. Unaweza kuutazama mjadala wenyewe hapa:

Mjadala wa Ugatuzi wa Huduma za Afya