Huwezi kusikiliza tena

Mbona Kenya kuna makundi haramu mengi?

Polisi imetangaza kuwa kuna zaidi ya makundi 40 haramu nchini Kenya, baadhi ya makundi hayo ni Saboat Lands Defence Force(SLDF), Kaya Bombo, Bagdad boys, Mungiki huku kundi la Mombasa Republican Council likiorodheshwa na Serikali ya Kenya kama kundi haramu lakini wao wenyewe wamekanusha.

Tazama vipindi husika hapa

Image caption Wanawake hawa kutoka eneo la Mt Elgon wanawatafuta waume zao wanaodaiwa kutoweka kufuatia operesheni ya kufagia kundi la SLDF