Huwezi kusikiliza tena

Punda walishwa mihadarati Kenya

Mji wa Mandera Kazkazini Mashariki mwa Kenya punda ni muhimu sana kwa maisha ya wakazi wa sehemu hiyo kwa kusafirisha maji, kuni na bidhaa nyingine kutoka nchi za Somalia na Ethiopia.

Lakini kumekuwa na shutuma kuwa wanyama hao hutumiwa vibaya na baadhi ya wanaowamiliki. Wengine wakidaiwa kupewa mihadarati.

Mwandishi wetu Bashkas Jugsodaay ametayarisha taarifa ifwatayo.