Ratiba ya Faidika

Shindano la Faidika na BBC limefikia tamati kwa mwaka 2009, Jane Mweni ndiye mshindi. Kwa vijana wenye shauku, jiandaeni kwa maelezo zaidi ya 2010.

Hatua ya kwanza ni kushindanisha washiriki wa kila nchi. Mshindi mmoja kutoka kila nchi ndiye atafunga safari kwenda Mombasa kuchuana katika fainali ya Faidika na BBC 2009. Ifuatayo ni ratiba ya fainali za kitaifa.

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

Bukavu - Jumatatu tarehe 13 Julai 2009. Mratibu: Ramadhani Kibuga.

Burundi

Bujumbura - Jumatano tarehe 15 Julai 2009. Mratibu: Ismail Misigaro

Rwanda

Kigali - Ijumaa tarehe 17 Julai 2009. Mratibu: Yves Bucyana

Uganda

Kampala - Jumatatu tarehe 20 Julai 2009. Mratibu: Isack Mumena na Joshua Mmali

Tanzania

Dar Es Salaam- Jumatano tarehe 22 Julai 2009 Mratibu: Zuhura Yunus

Kenya

Nairobi - Ijumaa tarehe 24 Julai 2009. Mratibu: Tom Japanni

Fainali - Faidika na BBC 2009

Mombasa, Kenya - Alhamisi tarehe 13 Agosti 2009