26 Aprili, 2010 - Imetolewa 17:41 GMT

Mbio za London Marathon

Mbio za London Marathon

 • Tsegaye Kebede
  Mshindi wa kwanza upande wa wanaume, Tsegaye Kebede kutoka Ethiopia.
 • Emmanuel Mutai
  Mshindi wa pili upande wa wanaume, Emmanuel Mutai kutoka Kenya.
 • Liliya Shobukova
  Mshindi wa kwanza upande wa wanawake, Liliya Shobukhova kutoka Urusi.
 • Inga Abitova
  Mshindi wa pili upande wa wanawake, Inga Abitova kutoka Urusi.
 • Aselefech Mergia
  Mshindi wa tatu upande wa wanawake, Aselefech Mergia kutoka Ethiopia.
 • Joyce Kandie
  Mchochea kasi kutoka Kenya, Joyce Kandie
 • Samuel Wanjiru na Zuhura Yunus
  Zuhura Yunus akimhoji Samuel Wanjiru aliyeshindwa kumaliza mbio hizo kutokana na maumivu ya goti.
 • Samuel Wanjiru na Salim Kikeke
  Salim Kikeke na Samuel Wanjiru ambaye alikuwa mshindi wa mashindano ya London Marathon mwaka 2009.
 • Washiriki wa London Marathon
  Baadhi ya washiriki wa London Marathon
 • Washiriki wa London Marathon
  Baadhi ya washiriki wa London Marathon
 • Chumba cha wanahabari
  Chumba maalum walichotengewa waandishi wa habari wanaofuatilia mbio za London Marathon.

BBC navigation

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.