27 Aprili, 2010 - Imetolewa 20:29 GMT

Maskini wa Kenya wapata nyumba mpya

Media Player

Unahitaji toleo sahihi la Flash Player kucheza sauti/video

Cheza fomati mbadala za SV

Mradi wa ujenzi wa nyumba mpya nchini Kenya umejazwa na baadhi ya watu maskini kutoka kwenye mtaa wa mabanda.

Mradi huo unafadhiliwa kwa njia ya mikopo, lakini wakosoaji wanasema mradi huo siyo endelevu.

Peter Greste anaripoti

BBC navigation

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.