27 Aprili, 2010 - Imetolewa 20:53 GMT

Myworld Tanzania

Media Player

Unahitaji toleo sahihi la Flash Player kucheza sauti/video

Cheza fomati mbadala za SV

Kuanzia mwezi Februari, BBC World News, katika mfululizo wa vipindi maalum vya televisheni na radio, vile vile online, walifanya shindano la kuandaa makala fupi ya video - kwa kamera ya digitali au kamera za kwenye simu za mkononi.

Kwa upande wa Afrika, filamu iliyowika ni "Somewhere in Northern Tanzania", iliyoandaliwa na Ibrahim Matukuta mkazi wa Zanzibar.

BBC navigation

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.