3 Mei, 2010 - Imetolewa 02:25 GMT

Athari za kuvuja mafuta Marekani

Athari za kumwagika mafuta Marekani

  • Jitihada zimekuwa zikiendelea kujaribu kuzuia mafuta yasitawanyike kwenda majimbo mengine.
  • Mbinu mbali mbali zimekuwa zikitumika, ikiwa ni pamoja na kuyamwagia kemikali, kuyachota na kuyachoma. Pia wamekuwa wakutumia maboya kuzuia yasifike maeneo mengine.
  • Hata hivyo, kumekuwa na mafanikio kidogo kutokana na hali ya bahari kuwa mbaya ikiambatana na upepo mkali.
  • Picha za satellite zinaonyesha eneo lililoathirika lina ukubwa wa zaidi ya kilometa za mraba 9,000 sawa na ukubwa wa nchi ya Puerto Rico.
  • Athari ni kubwa, kimazingira, uvuvi na utalii. Wavuvi wamekuwa wakimwaga samaki kwa kuhofia huenda wamechafuliwa na mafuta.

BBC navigation

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.