18 Mei, 2010 - Imetolewa 16:23 GMT

Vijana wakijiajiri Kenya

Vijana wanavyojiajiri Nairobi

  • Peter Njoroge alipita katika mitaa ya Nairobi kujionea jinsi vijana wanavyojiajiri wenyewe kwa shughuli mbali mbali za kuwaingizia kipato. Hapa ni kuosha magari.
  • Lakini huyu anakusanya maboksi, mifuko na chupa za plastiki ambazo anaenda kuziuza kisha zinayeyushwa na kutumika kwa shughuli mbali mbali.
  • Idadi ya magari hapo inaashiria biashara siyo mbaya sana, kijana anajiandaa kusafisha gari.
  • Kazi na dawa! Baada ya kuwajibika ni wakati wa kupata mlo, akina mama ambao nao wanajiajiri hutoa huduma ya chakula kwa vijana mitaani.
  • Hapa magari yaliyopata ajali hufanyiwa ukarabati katika maeneo ambayo pia ni kwa ajili ya kuyaosha.

BBC navigation

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.