28 Julai, 2010 - Imetolewa 14:51 GMT

Ajali ya ndege Pakistan

Media Player

Unahitaji toleo sahihi la Flash Player kucheza sauti/video

Cheza fomati mbadala za SV

Ndege moja ya abiria imeanguka karibu na uwanja wa ndege wa Islamabad nchini Pakistan na kuua watu wote 152.

Ndege hiyo inayomilikiwa na kampuni ya AirBlue inaaminika kuanguka kutokana na hali mbaya ya hewa na mvua kubwa iliyonyesha katika milima ya Margalla karibu na mji huo mkuu wa Pakistan.

Maelezo kutoka taarifa ya habari ya Idhaa ya Kiswahili ya BBC.

BBC navigation

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.