25 Agosti, 2010 - Imetolewa 15:15 GMT

Video: Athari za mafuriko Pakistan

Media Player

Unahitaji toleo sahihi la Flash Player kucheza sauti/video

Cheza fomati mbadala za SV


Waziri mkuu wa Pakistan, Yousuf Raza Gilani, amekutana na maafisa wakuu wa idara ya afya kujadili jinsi ya kukabiliana na mlipuko wa maradhi, hususan miongoni mwa watoto, uliosababishwa na mafuriko makubwa.

Mamilioni ya watu waliopoteza makazi hawana pa kukaa na pia vyoo, na madaktari kwenye maeneo yaliyoathirika zaidi wanaonekana kuzidiwa.

Zuhura Yunus amezungumza na Ahmed Yusuf mkazi wa Islamabad anayelezea hali ikoje.

BBC navigation

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.