27 Agosti, 2010 - Imetolewa 15:39 GMT

Video: Martin Shikuku

Media Player

Unahitaji toleo sahihi la Flash Player kucheza sauti/video

Cheza fomati mbadala za SV

Baada ya mvutano wa miaka mingi, hatimaye Kenya imeanza kuongozwa kwa mujibu wa katiba mpya iliyoidhinishwa na Rais Mwai Kibaki tarehe 27 Agosti 2010 mjini Nairobi.

Hatua hiyo ni kilele cha safari ndefu ya kutafuta katiba mpya, tangu ile ya uhuru iliyoandikwa mjini London mnamo mwaka 1963. Martin Shikuku ni kati ya watu wawili tu walio hai ambao walishiriki katika kutia saini katiba hiyo ya uhuru. Mwandishi wa BBC, Josphat Makori alikutana na mwanasiasa huyo mkongwe katika Norfolk Hotel mjini Nairobi.

BBC navigation

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.