15 Februari, 2011 - Imetolewa 17:12 GMT

Kampeni za uchaguzi Uganda

Media Player

Unahitaji toleo sahihi la Flash Player kucheza sauti/video

Cheza fomati mbadala za SV

Shughuli za kampeni ya uchaguzi wa rais nchini Uganda zinakaribia ukingoni wakati upigaji kura utakapofanyika siku ya Ijumaa, tarehe 18. Kuna jumla ya wagombea wanane akiwemo Rais Yoweri Museveni wa chama tawala cha NRM. Waandishi wetu wamezuru eneo la Gulu kushuhudia mikutano ya kampeni ya Nobert Mao wa chama cha DP.

BBC navigation

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.