Huwezi kusikiliza tena

Maoni ya watu kuhusu Gaddafi

Kufuatia kukamatwa na kufa kwa kiongozi wa zamani wa Libya, Muammar Gaddafi- Je wananchi wa Afrika Mashariki na kati wanasemaje kuhusu kiongozi huyo.