Huwezi kusikiliza tena

Teknolojia Wiki Hii

Katika Teknolojia wiki hii, watu nchini Iran wanadai kuwa wamebaniwa mno huduma za internet kwani hawajaweza kupokea barua pepe au hata kutumia mitandao ya kijamii katika siku chache zilizopita.