Huwezi kusikiliza tena

teknolojia wiki hii

Mojawapo ya tovuti kubwa ya kubadilishana muziki ya Pirate Bay imetangaza kupitia Facebook, kuwa itafunga ifikapo tarehe 29 mwezi Februari. Kwingineko, Microsoft imeishtumu Google kwa kukiuka kanuni za kuhifadhi faragha za wateja.