Huwezi kusikiliza tena

Teknolojia wiki hii

Washukiwa saba wa uhalifu wa mtandao, wakamatwa nchini Uingereza, Marekani na Jamuhuri ya Ireland na kushtakiwa kwa makosa hayo.

Tabiti mpya ya Apple mbayo ina kasi kubwa na uwezo mzuri wa kunasa picha ya hali juu imezinduliwa na kampuni hiyo.