Huwezi kusikiliza tena

ICC haja ya kufahamu

Mahakama ya ICC ina wanachama 120.

Nchi 33 ni kutoka barani Afrika.

Nchi zenye uwezo mkubwa duniani kama Marekani,China na Urusi siyo wanachama wa mahakama hii ya ICC.