Siku 100 kabla ya Olimpiki

Imebadilishwa: 26 Aprili, 2012 - Saa 11:12 GMT

Waandalizi wa michezo ya Olipmiki mjini London, waandaa matukio mbali mbali kuadhimisha siku miamoja kabla ya kuanza kwa michezo ya Olipmiki. Wanamichezo kadhaa, wa kike na wa kiume waliozaliwa Afrika watawakilisha nchi zisizo za Kiafrika katika michuano hiyo ya London.

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.