Huwezi kusikiliza tena

Mieleka ya asili

Mieleka ya asili , ni mchezo usiojulikana sana katika nchi nyingi lakini ni mchezo wa kiasili ambao umeendelea kushabikiwa sana barani Afrika.