Huwezi kusikiliza tena

Condom za kike zafanywa bangili TZ

Mjini Kibaha kuna tatizo la upungufu wa kondom za kike madukani. Sio kwa sababu ya kuongezeka kwa matumizi ya kondom hizo bali sababu ni ya urembo. Aboubakar Famau alitembelea Kibaha