Tamasha la maboti kumpongeza ya Malkia

Imebadilishwa: 5 Juni, 2012 - Saa 18:36 GMT

Tamasha la maboti

  • Malkia kwenye boti lake na walinzi wake
  • Malkia alipoingia kwenye boti merikebu yake maalum kwenye mto Thames. Anawaamkua wananchi wa Uingereza waliopiga foleni kando ya mto huo angalau kumtupia jicho
  • Boti la kifalme
  • Maboti mengi chini ya mojawapoya madaraja mengi yaliyoko kwenye mto Thames
  • Maboti mbali mbali
  • Boti la kifalme katikati mwa mto Thames
  • Bnedera ya Uingereza ikipaa juu ya maboti yaliyokuwepo kwenye tamasha hilo
  • Maboti kwenye mto Thames

Zaidi ya watu milioni moja walijitokeza kando ya mto wa Thames kujionea tamasha la kipekee la maboti ambalo limeshuhudia tena daaba da ya miaka 350.

Mamilioni walinyeshewa huku maboti elfu moja ikielea kwenye mto Thames na kupita chini ya madaraja kumi na mbili.

Boti maalum la kifalme ambamo alikuwa malkia ilielea pamoja na boti zingine. Ilikuwa tamasha la kipekee katika sherehe za kuadhimisha miaka sitini ya utawala wa Malkia Elizabeth.

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.