Huwezi kusikiliza tena

Mzozo wa ziwa Malawi

Hassan Mhelela alitembelea ziwa Malawi au Nyasa kujua ikiwa wananchi wanafahamu nini kuhusu mzozo huu wa unaosemekana kuanza baada ya kugunduliwa kwa mali asili ya gesi katika ziwa hilo. Je wananchi wameanza kuhisi athari za mzozo huo au bado?