Huwezi kusikiliza tena

Mlipuko wa kipindupindu Sierra Leone

Hali ilivyo baada ya ugonjwa wa kipindupindu kulipuka Sierra Leone. Mwandishi wa BBC Tomi Oladipo anachunguza hatua ambazo serikali inachukua kudhibiti hali baada ya mlipuko wa ugonjwa huo.