Huwezi kusikiliza tena

Kilio cha walimu wa Kenya

Walimu wa shule za misingi na zile za upili wameanza kugoma kudai nyongeza ya mishahara waliyoahidiwa zaidi ya miaka kumi iliyopita. Wanasema wamechoka na ahadi za uongzo ambazo zimekuwa zikitolewa na serikali. Mwandishi wa BBC Mahmoud Ali amezungumza na mmoja wa waalimu waliogoma.