Huwezi kusikiliza tena

Hayati Meles Zenawi atakumbukwa vipi?

Shughuli za raia wa Ethiopia zimerejea katika hali ya kawaida baada ya mazishi ya kiserikali ya waziri mkuu Meles Zenawi. Bwana Meles anasifiwa kwa kukuza uchumi kwa kiwango kikubwa barani Afrika. Lakini je mafanikio hayo yataendelezwa na sasa hayupo? Noel Mwakugu amejaribu kutafuta jibu la swali hilo