Huwezi kusikiliza tena

Kizaazaa kuibuka Mombasa

Makamu wa Rais wa Kenya Kalonzo Musyoka alizungumza na mwandishi wetu Peter Musembi mjini London kuhusu hali ya usalama mjini Mombasa baada ya machafuko