Huwezi kusikiliza tena

Burundi ina nini cha kujivunia?

Rais Pierre Nkrunzinza asema licha ya kuwa na majirani walio mbioni kuimarisha chumi zao, nchi hiyo nayo haijaachwa nyuma.