Huwezi kusikiliza tena

Mgomo wa walimu nchini Kenya

Walimu nchini Kenya walianza mgomo wa kitaifa siku ya Jumatatu na Mwandishi wa BBC Nyambura Wambugu alikuwepo kujionea ikiwa mgomo huo ulifainikiwa au la.