Huwezi kusikiliza tena

Panya hodari wa mabomu ya ardhini

Nchini Tanzania umeanzishwa mradi wa kutumia panya kwa shughuli za kibinadamu. Hassan Mhelela alitembelea mradi huo