Huwezi kusikiliza tena

Mkutano wa majaji waanza Kampala

Majaji wa ngazi zote za mahakama kutoka nchi wanachama wa jumuiya ya Commonwealth wanakutana mjini Kampala kujadiliana masuala mbalimbali kama vile katiba, utawala wa sheria , uhuru wa mahakama pamoja na utawala bora, kama anavyotuarifu mwandishi wetu wa Kampala, Siraj Kalyango.