Huwezi kusikiliza tena

Waandishi wa habari waandamana Tanzania

Waandishi wa habari nchini Tanzania hii leo walifanya maandamano ya kimya kimya kulaani kuuawa kwa mwandishi mwenzao Daudi Mwangosi.

Kwa upande wa jiji la Dar es Salaam ambalo ndilo lenye idadi kubwa ya waandishi nchini, maandamano hayo yalianza katika kituo cha runinga cha Chanel Ten na kumalizikia katika uwanja wa jangwani.

Hassan Mhelela anaarifi yaliyojiri