Huwezi kusikiliza tena

Mwanamitindo Mtanzania atifua vumbi Ulaya

Mwanamitindo kutoka Tanzania Flaviana Matata ambaye ameshiriki katika wiki ya mitindo ya London ametembelea BBC na mbali na masuala mengine kwanza amemueleza Zuhura Yunus ni mitindo gani ambayo inawika kwa sasa.