Huwezi kusikiliza tena

Kismayo mikononi mwa AMISOM

Wanajeshi wa Kenya na wale wa Somalia wameingia katika ngome ya mwisho ya kundi la wapiganaji wa kiislamu la alshabaab kusini mwa Somalia, bandari ya Kismayu.

Kenya inasema vikosi vya muungano vilishambulia maeneo ya baharini na nchi kavu usiku wa kuamkia leo na nusu ya mji huo sasa wanaudhibiti.

Msemaji wa jeshi la Kenya ni kanali Cyrus Oguna.