Huwezi kusikiliza tena

Muziki wa Leo Mkanyia

Leo Mkanyia ni mwanamuziki kutoka Tanzania ambaye ameamua kuingia katika fani ya JAZZ , ingawa Jazz inafahamika maeneo yetu ya Afrika Mashariki na Kati sio mtindo ambao unatumiwa na wanamuziki wengi asilia , je nini kimemvutia Mkanyia kuingia katika fani hiyo. Idd seif alizungumza na Leo Mkanyia.