Huwezi kusikiliza tena

Pippie na upasuaji uliomuokoa

Mtoto mwenye umri wa miaka mitatu, ambaye hakutarajiwa hata kidogo kupona baada ya mwili wake kuchomeka vibaya kwa asilimia themanini, amewashangaza wengi baada ya kufanyiwa upasuaji.

Mamake mtoto huyo, Pippie Kruger, aliambiwa asitarajie kuwa Pippie angepona baada ya ajali yake ya moto nyumbani.

Hata hivyo, baada ya kupatwa na mshtuko wa moyo mara tano na kufanyiwa upasuaji mara kahdaa, ikiwemo upasuaji wa kipekee, sasa Pippie amerejea nyumbani kwao.

Emannuel Igunza anasimulia kisa cha mtoto Pippie.